AutoPay
Mfumo wa kisasa wa kulipa umeme kwa urahisi
Je, Waujua Mfumo wa Jetcode AutoPay?
Mpangaji hununua umeme na kupata tokeni ya sabmita pekee. Mwisho wa siku/wiki, mfumo hununua tokeni ya mita kuu na kuituma kwa admin wa nyumba.
Faida:
- Mpangaji anajaza tokeni ya sabmita tu.
- Admin haangaiki kununua Umeme anasubiri tokens za umeme wa Mita Kuu Kutoka Jetcode Kwa njia ya SMS.
- Mfumo unajiendesha Wenyewe. Jetcode imekurahisishia!